Siku mbili zilizopita iliripotiwa taarifa ya wasanii wawili wa muziki wa
bongo fleva kuwa wameingia katika bifu kubwa la kumgombania mwanamke
mmoja kama alivyosema Msami.
Ilisemekana kuwa tifu likianza baada ya namba ya mwanamke wa AT imekutwa
ikiishi ndani ya simu ya Msami baby na kuwa chanzo cha wawili hao kuwa
katika bifu zito.
Bongoswagz imeyakamata maneno aliyoyasema AT kuhusiana na bifu hilo na
ameamua kumpasha Msami kama kawaida yake msanii huyo anaefanya vizuri
kwebye miondoko ya mduwara.
Sasa unaweza kutuachia Cooment yako kuhusianan na Bifu hizi za wasanii wa bongo zinazozuka siku hadi siku.
Home
»
»Unlabelled
» Seebait.com 2017SeeBait AT na Msami Bifu lao la kugombea Demu lafikia Hapa. Isome habari hii isikupite.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment