
Ni
ukweli kuwa kwa sasa Darassa ameyasogelea mafanikio aliyokuwa
akiyatamani kwa muda mrefu. Rapper mkongwe wa muziki wa Hip Hop nchini,
Professor Jay amemuandikia ujumbe hitmaker huyo wa Muziki wa kumpongeza
kwa kazi nzuri anayoifanya na kumtaka kuendelea kukaza buti.Kupitia mtandao wa Instagram, Jay ameandika:
Mdogo
wangu @darassacmg Imani yako, Kutokukata tamaa na Struggle yako ya
Usiku na Mchana ndio imekufanya ufikie hapo ulipofikia, Nakumbuka wakati
unashoot Wimbo wako wa USIKATE TAMAA uliniambia unatamani ufikie level
za juu kama zetu, Nami nilikwambia hakuna kinachoshindikana chini ya JUA
Ukiset GOALS, kufanya kazi kwa bidii na SALA yote Yanawezekana, Naamini
kwa style hii ya JIWE juu Ya JIWE, NDOTO yako inakwenda kuwa kweli, Cha
MSINGI usiridhike na mafanikio haya..HUU ni mwanzo tuu na mafanikio
makubwa zaidi yako at your DOOR, Keep your eyes open and Keep ya HEAD
UP,SKY IS THE LIMIT, GO GET DEM… BLESS#ACHA MANENO WEKA MUZIKI@darassacmg @darassacmg
Kwenye
muziki, mdogo wako wa leo, anaweza kuwa bosi wako wa kesho. Kuanzia
sasa, rapper mkongwe wa Nako 2 Nako na aliyekuwa mmoja wa members wa
kundi la Weusi, Lord Eyez atakuwa chini ya usimamizi wa label mpya mjini
– BANA, inayomilikiwa na Barakah The Prince.Barakah
ameitangaza label yake hiyo Jumanne hii wakati akihojiwa kwenye kipindi
cha Planet Bongo cha East Africa TV. Muimbaji huyo wa Nisamehe amedai
kuwa Lord Eyez ataungana na mpenzi wake, Naj kama wasanii wa label hiyo
na kwamba hivi karibuni nyimbo zao zitatoka.
Amedai
kuwa lengo la kumchukua Lord Eyez ni kutokana na kukubali uwezo wake na pia kutumbuiza naye kwenye show kadhaa, amegundua kuwa
ana mashabiki kibao.
Post a Comment