Lione Messi akishangilia penalti aliyoshinda dhidi ya valencia
Kati ya mechi sita zilizopita ni mechi moja tu ndiyo Lione Messi hakuweza kufunga goli na ulikuwa mchezo mgumu sana kwao dhidi ya Atletico Mardid
Goli lake la penalti dhidi ya valencia limemfanya kuwa mchezaji pekee aliyefunga magoli mengi dhidi ya valencia kwenye mchezo ya La liga Ameifunga valencia magoli 19 katika mechi za La liga
Baada ya kupata majeraha mwezi september Messi alipata muda wa kupumzika baada ya kupita katika kipindi kigumu kwenye majira ya joto lakini kwa sasa amerejea akiwa na makali yake ya kufumania nyavu
November 11,2016 ambapo Argentina itacheza na Brazil katika harakati za kufuzu fainali za kombe la Dunia,Messi atahitajika katika kikosi cha Taifa cha Argentina
Kiwango cha Messi wiki hii kimekuwa ni cha juu Hat-trick yake ilishuhudia Man city iliyochini ya Pep Guardiola ikilala bao 4-0 ugenini kwenye michuano ya Klabu bingwa ulaya
Jumamosi hii Messi akafunga mara mbili na kufikisha magoli sita katika mechi tatu alizochezak
Messi anaweza asishinde Ballod'or mawaka huu lakini anatengeneza mazingira mazuri ya badae kutokana na rekodi zake za sasa
Post a Comment