Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu)
Mhe. Jenista Mhagama (Mb) akisalimiana na Mwenyekiti wa Kamati ya
Wanawake TUCTA Bi.Rehema Ludanga alipowatembelea Ofisini kwao Jijini Dar
es Salaam Desemba19, 2016.Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu)
Mhe. Jenista Mhagama (Mb) akizungumza jambo wakati wa Mkutano na
Viongozi wanawake wa Vyama vya wafanyakazi TUCTA walipokutana katika
Ofisi zao Dar es Salaam tarehe 19 Desemba, 2016.Baadhi
ya Viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi wanawake wakimsikiliza Waziri wa
Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu)
Mhe. Jenista Mhagama (hayupo pichani) wakati wa mkutano wao Ofisi za
TUCTA Dar es Salaam Desemba 19, 2016.Mkurugenzi
Idara ya Jinsia na Wanawake TUCTA Siham Ahmed akichangia hoja wakati wa
mkutano wao na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira
na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) alipokutana na Viongozi
Wanawake wa Vyama vya wafanyakazi TUCTA Dar es Salaam.Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu)
Mhe. Jenista Mhagama (Mb) akipokea vitabu mbalimbali vinavyohusu
masuala ya Wanawake sehemu za kazi kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati ya
Wanawake TUCTA Bi.Rehema Ludanga wakati wa mkutano wao Ofisi za TUCTA
Desemba 19, 2016.Mwenyekiti
wa Kamati ya Wanawake TUCTA Bi.Rehema Ludanga akimkabidhi zawadi ya
kitenge Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu
wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama ikiwa ni sehemu ya kuonesha furaha
yao wakati wa mkutano wa Viongozi Wanawake wa Vyama vya Wafanyakazi
Desemba 19, 2016 Dar es Salaam.Baadhi
ya Viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi wanawake wakiimba wimbo wa umoja
wao wakati wa mkutano wao na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,
Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama katika Ukumbi
wa Ofisi za TUCTA Dar es Salaam Desemba 19, 2016.
Post a Comment