Mdogo
wake Zari The Bosslady, Zuleha amezua kasheshe mtandaoni baada ya
kupost picha akiwa na Alikiba. Wawili hao walikutana jijini Kampala,
ambako Alikiba alienda kwaajili ya kutumbuiza kwenye tamasha la Blankets
and Wines.Zuleha ambaye ni tumbo moja na Zari, alipost picha hiyo akiwa
na Alikiba Instagram, na kuandika: With the one and only
@officialalikiba, c u at blankets and wines.”Hiyo imekuwa picha yake
maarufu zaidi katika zote alizowahi kupost huku ikivutia malumbano
makali kati ya mashabiki wa Diamond na Alikiba.Dada yake, Zari aliyebaki
kucheka tu kwa comments hizo, alichangia kwa kuandika: Just passing by
to read the comments, yall neighbors are something else.”Hizi ni baadhi ya comments:ozubery:
Tunaomba naww mzalie mtt @officialalikiba kwanza anajua kuimba kuliko
shemeji yako ndomo poa pili anahela kuliko baba tiffa nakuakikishia
atakujengea mjengo hukoooo alikomjengea mwanae @kiba_junior rondon
halafu na wewe utakua star kawa dadayako sijui mama yako @zulehah
@zulehah @zulehah tunaomba uwe shemeji yetujacksonhatibu: Haaaaa
@zarithebosslady @zulehah this is not tiny League ….daahh …don’t get
offended bcoz of this massive attack from Tzpeeps …..Another day b4 you
Post them you shd prepare yoself psychologically…. It’s ol abt Lovejunosesque:
Don’t see any bid deal with selfies. If she requested and
@officialalikiba accepted what’s wrong with that? He is a celebrity and
he can not put off his fans when they request for one. For me no big
deal!amisha32: You betray diamond they will never forgive you don’t you
ever step in madale house u betrayer why you take pic with kiba his our
enemy.. Wcb will not forgive you zuleha @zulehahhellen_spr: When I read
all this comments… I can’t help but wonder how some Tanzanians are
mannerless. Don’t they teach you manners in school or home? You just
gossip.. Insult people. Yaani two adults cannot take a photo without all
this bashing and criticism. You don’t even love your own
@diamondplatnumz who is making Tanzania known all over the world. His
love life his choice. There are people who value others. In Kenya we do
not insult celebrities ovyo ovyo. Shame on some of you.vincycai6145:
Kiba better watch himself them bitches are known gold diggers just like
zari. So one sister already baited diamomd, so kiba better watch his
back. Or he would be paying that child support. And she would be popping
them babies like they candy. Lmfaoooo @angelalola3204rashdar: Well
done @zulehah nashauri ukienda kwenye blancets&wines piga nae
nyingine ukiamka tuma tena.music una Siri yake ukiwa mzuri utauimba tu
hata ukiwa chooni hamna sehemu ya burudani wanapiga nyimbo za kiba au
chibu peke yake only instagram ndo watu tunalazimisha kupenda kazi za
mtu mmoja tu.
Post a Comment