Tuzo ambazo hutolewaga kila mwaka AFRIMMA
(afrika music magazine awards) kwa sekta mbalimbali hasa burudani zimetolewa leo Dolles Texas Marekani ambapo katika list yote watanzania watatu wameweza kuibuka
Na tuzo hizo 1.Dj D ommy wa clouds fm kupitia show ya Xxl na Amplifaya 2.Harmonize ambaye ameshinda tunzo ya msanii bora chipukizi Africa 3.Diamond plutnumz ambaye ameshinda tunzo ya msanii bora wa kiume East Africa
Diamond ambaye ni CO na mmiki pia wa lebo ya WCB ameweza kutoa hongezi kwa msanii wake Harmonize kwa kuwakilisha vizr watanzania na waafrika kwa ujumla kupitia kipengele cha msanii bora chipukizi 2016.kupitia Instagrm akaunti yake diamond aliweza kupost picha aliyosema inamkumbusha mwaka jana harmonize alipokuja kumpokea airpot kutokea @afrimma akamuliza "hivi ipo siku na nami nitachaguliwa tunzo yeyote ya kimataifa "akamjibu ukifanya kazi kwa bidii,ukamheshimu kila mtu,ukamwamini na kumuomba mungu basi....mollah atakufungulia ndoto zako...na leo hii kweli tunafrahi ushindi wako wa msanii bora chipkizi africa hongera sana@Harmonize tz.
shukrani sana sana kwa mashabiki zeru pendwa kwa kura na @afrimma kwa kuendelea kuvinyanyua vipaji vya Afrika
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Nice one keep it up Mbwiga.
ReplyDelete