Mwanamuziki
nyota mwenye asili ya Canada, Justine Bieber, alitembelea katika
mazoezi ya kikosi cha FC Barcelona ambayo hufanyika kwenye Viwanja vya
La Masia.
Uwanja wa La Masia, uko nje kidogo ya jiji la Barcelona ambayo nyota wa kikosi hicho hufanya mazoezi.
Bieber
alipata nafasi ya kufanya mazoezi kidogo na nyota wa Barcelona wakiwemo
wale watatu Neymar, Luis Suarez na Lionel Messi maarufu kama MSN.
Post a Comment