Picha,D’Banj na mke wake wapata mtoto wao wa kwanza…
Music staa kutoka Nigeria Oladapo Daniel Oyebanjo Aka D’Banj, amekuwa baba baada ya kupata mtoto wake wa kwanza na mke wake anayeishi Marekani.
D’Banj ametangaza habari hizi nzuri kupitia IG yake na kusema anaitwa Daniel Oyebanjo III.
Post a Comment