Rapa wa MMG ya Rick Ross, Meek Mill amesema huwa anasikiliza diss record yake kutoka kwa Drake “Back to Back” kama sehemu ya kupata mizuka ya kufanya kazi kali na kuhamasika zaidi.
Kwenye #SnapChat yake Meek Mill
anaonekana akuendesha gari na kwenye radio yake inacheza ‘Back To Back’
na yeye kaandika maneno kuwa wimbo huo anasikiliza ili kupata
Motivation.
Home
»
BURUDANI
» Ili kupata mizuka Meek Mill anasikiliza Diss yake kutoka kwa Drake ‘Back To Back’….
Related Posts
Stori, kabla ya kifo chake dictator Saddam Hussein alimsikiliza zaidi Mary J Blige na muziki wa Hiphop…
09 Jun 20170Aliyekuwa rais wa Iraq, Saddam Hussein alitumia siku zake za mwisho duniani kusikiliza muziki w...Read more »
Picha,Mashabiki wafurahia mwili mpya wa Rihanna…..
28 May 20170Mashabiki wameonyesha kufurahia mwili mpya wa msanii wa rnb na pop Rihanna. Wiki hii...Read more »
Picha,D’Banj na mke wake wapata mtoto wao wa kwanza…
28 May 20170Music staa kutoka Nigeria Oladapo Daniel Oyebanjo Aka D’Banj, amekuwa baba baada y...Read more »
Ariana Grande kufanya show ya kuchangisha pesa kwenye eneo la mlipuko wa bomu,Manchester Arena
28 May 20170Pop staa Ariana Grande anarudi mjini Manchester Uingereza kwaajili ya tamasha kubwa la ...Read more »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.