Picha,Mashabiki wafurahia mwili mpya wa Rihanna….. A+ A- Print Email Mashabiki wameonyesha kufurahia mwili mpya wa msanii wa rnb na pop Rihanna. Wiki hii Rihanna alipigwa picha akiwa mjini New York City, jeans zimebana na kuvalia T Shirt yenye picha ya msanii mkubwa Buju Banton anayefanya naye kazi kwa sasa.
Post a Comment