Kama Utakuwa umeanza kuingia mashaka kuhusu kutoa ngoma kwa msanii mmoja moja katika kundi la Yamoto Band, basi unapaswa ujue taarifa hii muhimu kutoka kwa Aslay a.ka dingi mtoto anaetamba na kibao cha 'Acha Nilewe'

Kama 'Yamoto Band' watajiaribu kumdis Aslay et kwakuwa anatoa ngoma kwa mkupuo au na akiwa peke yake bila kumshirikisha hata mmoja katika kundi lake hali ya kuwa amesha pewa baraka na Mkubwa fella basi unapaswa kulijua hilo.

 
09 Jun 2017

Post a Comment

:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top