Jimmy amesema hayo alipokuwa anahojiwa na Mtangazaji wa Redio Jamii fm Morogoro.Andrew Mbwiga kupitia kipindi cha Combination Dj 1416 Amesema wasanii wadogo wanapitia changamoto kubwa sana pale wanapohitaji kufikia malengo yao kuanzia kurekodi,collabo na promotion ya Nyimbo zao
Lakini pia amesema kutokana na Mziki kubadilika kuwa wa biashara kunapelekea mziki kukosa ubora na kukosa wasanii wenye vipaji
Hata hivyo amewaomba maproduza kufanya kazi na watu wenye vipaji na siyo kuangalia hela pekee...Jimmy yeyoo alianzia Mziki Mkoani Bukoba kutokana na Maisha ya shule alihamia Dodoma na kuendeleza na Elimu ya Chuo kikuu (UDOM) baada ya kuhitimu na kuajiliwa Dodoma kama Mwalimu wa sekondari akaendelea na harakati za Mziki.
Nikweli aisee
ReplyDeleteNikweli aisee
ReplyDeleteTrue brother, na sio wasanii tu hata maredio presenters wanafanya wasanii wadogo waisome namba wakitafta kutoboa.
ReplyDelete