Presha Wakubwa ya iliyotanda kwa zaidi ya wiki moja sasa kwa mchezo wa kigi kuu England kati ya Liverpool kwa mashabiki wa soka duniani kote,usiku wa october 17 katika uwanja wa Anfield ndio ilikuwa siku siku ya kumaliza utata huo Liverpool waliwakaribisha Man united mchezo wao wa 193 katika historia.


Mchezo kati ya liverpool dhidi ya Man united ulikuwa ulikuwa unawakutanisha Makocha wawili wenye rekodi zao kwa mechi tano zilizopita Jurgen klopp amemfunga Jose Mourinho mara tatu sare 1 na kupoteza mchezo mmoja,kitu ambacho kiliwafanya mashabiki wengi waamini kuwa klopp anaweza akapata matokeo tena dhidi ya Mourinho

Liverpool walikuwa wanaweza kupata matokeo kutokana na kuwa nyumbani na rekodi ya kocha wao Jurgen klopp dhidi ya Mourinho kuwa nzuri lakini waliambulia droo ya 0-0 Liverpool na Man United wanakuwa wametoka sare ya 45 katika michezo ya EPL na sare ya 52 kwa mechi za mashindano yote waliyowahi kukutana.
   


MSimamo wa EPL baada ya mchezo wa leo

Post a Comment

 
Top