Utoaji wa tuzo za MTV MAMA 2016 zilizoandaliwa na kituo cha tv cha mtv Base Afrika ulikamilika usiku wa oktoba 22, 2016 Johannesburg Afrika Kusini
Msanii wa bingofreva diamond plutnumz alikuwa ni mmoja ya wawania tuzo hizo ambapo alikuwa katka kipengele cha msanii bora wa kiume na msanii bora wa mwaka tuzo ambazo zote zilienda kwa Wizkid wa Nigeria, Mda mchache baada ya tuzo kumalizika Diamond Plutnumz alitumia account yake ya instagram kuwashukuru wote na kuwapongeza washindi kuonesha kukubali matokeo
Jukwaa lilotumika utoaji wa tuzo za MTV MAMA 2016










Diamond Plutnumz                                                         "Shukrani sana sana kwa kura na support kubwa mlionipa  na mnayoendelea kunipa......pia S/O kwa my fellow Tanzania Artist wote waliobahatika kuchaguliwa...kuingia tumekuwa wengi kwenye MtvAwards ni ushindi tosha kwa watanzania...Ila wanna congrats my brothers@Sautsol for the best group award........my hammie@Jahprayzah and @Wizkidayo ya'll deserve the Trophies 👊👊"



Post a Comment

 
Top