usiku wa october 22, 2016 Johannesburg Afrika Kusini ndio siku ambyo zilitolewa rasmi tuzo za MTV MAMA 2016 kwa wasanii waliofanya vizuri kwa mwaka 2016. Yemi Alade wa Nigeria aliibuka mshindi wa tuzo ya Best Female Artist aliyokuwa akiwania na Mtanzania Vanessa Mdee.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Buddaaa hizo siyo story tena mi NADHANI ingekuja na profile za wasanii hao kwamfano utuambie yemi ni nani alitokea wapi katika music. Husisha hit songs zake JE yupo chini ya label? Yaani tumjue yemi ni nani? Wake up mfanye msomaji wako awe na kiu ya kurudi tena na tena.. ifanye site yako iwe na kila kitu mtu atapata na akaifanya kuwa sehemu yake ya uhakika wa infor... NAWAZA KWA SAUTI TUUUUUU.... NO OFFENCE
ReplyDeleteBuddaaa hizo siyo story tena mi NADHANI ingekuja na profile za wasanii hao kwamfano utuambie yemi ni nani alitokea wapi katika music. Husisha hit songs zake JE yupo chini ya label? Yaani tumjue yemi ni nani? Wake up mfanye msomaji wako awe na kiu ya kurudi tena na tena.. ifanye site yako iwe na kila kitu mtu atapata na akaifanya kuwa sehemu yake ya uhakika wa infor... NAWAZA KWA SAUTI TUUUUUU.... NO OFFENCE
ReplyDelete